|
Post by nora on Aug 7, 2008 8:09:45 GMT 3
Pakacha Pakachuka
Date: May 24, 2002 Author: Hassan O. Ali, Ottawa, Canada.
Pakacha waniweka, roho juu Pakacha kila mwaka, hata huu! Pakacha wanitaka, niwe zuu? Pakacha pakachuka, chini puu! Pakacha nadhikika, dhiki kuu! Pakacha ninanuka, na kupuu Pakacha wanicheka, sana tuu! Pakacha pakachuka, chini puu! Pakacha umeruka, kichuguu Pakacha hujavuka, lima kuu Pakacha 'tachauka, chau chau Pakacha pakachuka, chini puu! Pakacha sina shaka, si kifuu Pakacha asotaka, la mkuu Pakacha huvunjika, lake guu Pakacha pakachuka, chini puu!
Pakacha Pakachuka ... (jibu)
Date: May 24, 2002 Author: Hashil S. Hashil, Denmark.
Pakacha parachuka, wajikuta chini juu Pakacha lakucheka, mzegazeka nafuu Pakacha kusarifika, zambarau sio fuu Pakacha towa talaka, ndio siri ya kifuu Pakacha ni kichaka, cha mbuni vitu kuviacha wazi Pakacha mashaka, wengi wauza mbaazi Pakacha kushilanga muafaka, shabaha kupanda ngazi Pakacha kuliamini ni shaka, lageuka utelezi Pakacha nakunasihi, fujo zako kuziacha Pakacha huzimi wala huwashi, wajijua umechacha Pakacha kipimo chako ni pishi,wengine watoto pacha Pakacha ubani wako mafushi, mara nyengine mchicha Pakacha kujihashuwa uwache, mara hii utadunda Pakacha makarara kwako cheche, mnyama wako ni punda pakacha gari lako ni mkweche, wapakia vilovunda Pakacha miye si cheche, ni sungura kwenye sanda.
|
|
osome
Silver Member
Posts: 5
|
Post by osome on Aug 7, 2008 12:57:42 GMT 3
i wonder how this poem would feel like if it was a local song. say genge? hmmmm....Produced by jomino? interesting rhymes!!
|
|
|
Post by a.k.a on Aug 7, 2008 14:56:19 GMT 3
lol, situfanyeni collabo...mimi ni rap na nyinyi mtakuwa lead singers. the poem rhymes vipoa but am totally lost figuring out the meaning of it. any clues??
|
|
osome
Silver Member
Posts: 5
|
Post by osome on Aug 8, 2008 10:49:05 GMT 3
LMAO @ Pakacha ninanuka, na kupuu Pakacha wanicheka, sana tuu!
Hata mimi places zingine niko lost. i just had to check the author then i went like..ooooooh haikosi ni mswahili.
This would be a deadly song though.
|
|
|
Post by nora on Aug 9, 2008 7:25:55 GMT 3
osome....reading those lines individually ati pakacha ninanuka na kupuu...they just give some other random meaning. but i loved this poem mimi pia sina clue what it means.. maybe we should phone the author
|
|
|
Post by a.k.a on Aug 9, 2008 17:24:29 GMT 3
lol, i think it talk about mapetho ....kulingalinga.
|
|
|
Post by nora on Aug 11, 2008 11:35:33 GMT 3
what in the world is mapetho?
|
|
|
Post by a.k.a on Aug 11, 2008 17:02:33 GMT 3
lol, mapetho equals maringo.
|
|
|
Post by nora on Aug 15, 2008 11:40:15 GMT 3
is that sheng'?
|
|
|
Post by a.k.a on Aug 16, 2008 17:20:21 GMT 3
it's aka sheng...lol. ni sheng ya nax.
|
|
|
Post by nora on Aug 17, 2008 3:18:22 GMT 3
ooooh
|
|
|
Post by a.k.a on Aug 18, 2008 11:42:51 GMT 3
wewe una mapetho....lol.
|
|
|
Post by nora on Aug 22, 2008 11:53:55 GMT 3
aih!! hiyo nayo nimekataa!!!!!!! i am very simple
|
|
|
Post by a.k.a on Aug 22, 2008 18:46:32 GMT 3
yeah maybe or maybe not....yu have to stand before a court of law.....lol
|
|
|
Post by nora on Aug 23, 2008 7:54:00 GMT 3
|
|